google978c4e921fe1bd28.html

[VIDEO]:SHOCKING Medical negligence at Kenyatta Hospital ER caught on camera

Bweta La Uhalifu : Rufaa Mahututi

Hospitali ya rufaa ya Kenyatta imekabiliwa na changamoto nyingi, kutokana na idadi ya wagonjwa inaopokea kila siku kutoka kila pembe ya nchi na kanda hii. Hata hivyo, labda lisilojulikana na wengi ni masaibu wanayopitia wagonjwa katika kitengo cha kuwapokea wagonjwa wanaohitaji matibabu ya dharura au waliohusika kwenye ajali. Hospitali hiyo ilituahidi kuzungumzia suala hilo, na hadi leo ahadi hiyo haijatimia. Mwanahabari wetu mpekuzi ameibuka tena na makala ya bweta la uhalifu ambapo kwa mwaka mmoja, ameshuhudia masaibu ya wagonjwa wanaolazimika kusubiri hadi siku 3 kabla ya kupokea matibabu ya dharura, huku akishuhudia 7 wakifariki.

Comments

comments

%d bloggers like this: