google978c4e921fe1bd28.html

[VIDEO] Vidosho Waporaji: Vipusa Wanavyowapora Wanaume maeneo ya barabara ya Luthuli na Riveroad jijini Nairobi

Unapoporwa huenda utahisi uchungu au hata kuachwa na majeraha,lakini tafakari pale unapoporwa na kisha kupapaswa . Hapa tunazungumzia vidosho hatari wanaowapora wakenya maeneo ya barabara ya Luthuli na Riveroad jijini Nairobi. Ni vidosho wanaotumia nguvu zao za kike kuwabia wanaume.

Ni swali ambalo ni sawia na lile la wizi wa kimabavu lakini wakati wanaojipata pabaya ni baadhi ya wanaume wanaoamua kufurahia kupapaswa na kusahau mali yao. Mwanahabari wetu anakuarifu zaidi kwenye makala vidosho waporaji.

Capture

Comments

comments

%d bloggers like this: