google978c4e921fe1bd28.html

[VIDEO] Je, Mama Lucy Kibaki Yuko Wapi?

Capture

Limekuwa ni swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi kwa muda wa miaka mitatu sasa, wakati rais mstaafu Mwai Kibaki alipokuwa akiondoka uongozini wengi walikuwa wakitarajia kumuona lakini hakujitokeza. Wakenya hii leo kwa mtandao wameanza tena kuuliza alipo. Familia yake imesalia kimya kwa muda sasa kuhusiana na suala hilo.

Comments

comments

%d bloggers like this: