google978c4e921fe1bd28.html

Traffic Police caught on camera taking bribes in Nairobi[VIDEO]

Bweta La Uhalifu

Kirauni cha maafisa wa polisi ni chenye nguvu za aina yake, ni cha kuheshimiwa ,ni kirauni ambacho kinaweza kukutia wewe motoni au kukuokoa wakati mwingine.lakini wakati huu tumeamua kuchunguzi kirauni cha maafisa wa trafiki ,kirauni ambacho maafisa hao wamekuwa wakitumia kupokea mlungula,ni kirauni cha uhuni,wakati huu tukipenyeza katika mwa jiji la Nairobi,mtizamaji mara kwa mara umezoea kuwaona maafisa wa polisi wakipokea hongo lakini walioko katikati mwa jiji la Nairobi ni wenye ujanja wa aina yake,katika makala ya Bweta La Uhalifu hii leo tunafichua mbinu yao ya kupokea hongo

Comments

comments

Tags: 
%d bloggers like this: