google978c4e921fe1bd28.html

VIDEO:Lengelenge La Mlima Elgon Part 1 & 2

Lengelenge La Mlima Elgon Sehemu Ya Kwanza

[embedplusvideo height=”477″ width=”600″ standard=”http://www.youtube.com/v/DCKy34DB1VQ?fs=1″ vars=”ytid=DCKy34DB1VQ&width=600&height=477&start=&stop=&rs=w&hd=0&autoplay=0&react=1&chapters=&notes=” id=”ep2802″ /]

Zaidi ya vijana elfu mbili kutoka Mlima Elgon waliokua wamejiunga na kundi haramu la sldf  mwaka 2006 wameachiliwa huru kutoka gerezani na kurejea katika jamii walioihangaisha kwa madai ya kutetea ardhi. Vijana hawa walishtakiwa kuwadhulumu wakaazi kwa kuwakata masikio na mauaji ya halaiki ambapo zaidi ya watu mia sita walipoteza maisha yao na takriban wakaazi elfu kumi kubakia bila makao .Swali linaloibuka hapa,jee vijana hawa  wametubu,jamii imewapokea na kuna ukweli katika fununu za kuibuka kwa uhasama tena hasa baada ya vijana hawa kusalia bila ardhi.

Lengelenge La Mlima Elgon Sehemu Ya Pili

[embedplusvideo height=”477″ width=”600″ standard=”http://www.youtube.com/v/PApZrWQwp0U?fs=1″ vars=”ytid=PApZrWQwp0U&width=600&height=477&start=&stop=&rs=w&hd=0&autoplay=0&react=1&chapters=&notes=” id=”ep2176″ /]

Zaidi ya wanawake elfu mbili walibakwa,mamia ya mayatima kusalia ombaomba na watoto waliozaliwa utokana na wasichana waliobakwa kukejeliwa katika Mlima Elgon. Licha ya miaka kusonga kovu la jeraha walilopata kutokana na vita vya ardhi Chebyuk halijaacha kuwa chungu. Huku wakitafuta haki wanauliza watoto wao watarithi nini? Tunaangazia kwa nini msamaha kwa SLDF na serikali umekuwa mjadala katika sehemu ya pili na ya mwisho katika makala ya Lengelenge la Mlima Elgon.

Via K24TV

Comments

comments

Tags: ,
%d bloggers like this: