google978c4e921fe1bd28.html

[VIDEO-PHOTOS] Kenyans in Washington, DC Hold Vigil for Westgate Mall Attack Victims

onemicSource: SwahiliVilla

“Jumuiya ya waKenya DMV waomboleza mauwaji ya Westgate
Siku nane tangu kutokea kwa shambulio la kigaidi nchini Kenya, lililoua zaidi ya watu 67 na kujeruhi wasiopungua 175.

Wakenya kutoka sehemu mbalimbali duniani wameungana na wenzao katika maombi na ishara za matumaini kwa wenzao wa nchini Kenya.

Jumuiya ya waKenya na rafiki wa wanajumuia hao walikutana Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C., kwa ajili ya kuwakumbuka, kuwaombea na kuwapa matumaini wenzao walioathirika na tukio hilo.

Walianza kwa ufunguzi kuwaombea dua walioathirika na tukeo hilo lilitokea Siku ya Jumamosi Sept 21, ambapo kundi la Al shabab walivamia na kuteka eneo la sehemu kubwa ya jengo la kibiashara Westgate Mall Jijini Nairobi Kenya.

Waliendelea kwa kukumbushana mengi yakiwemo kusisitiza kwa upendo wa kua kitu kimoja bila ya kujali tafauti zao na kuvumilia kwa yote yaliotokea kwani Kenya ni nchi ya amani.

Baada ya hapo waliimba wimbo wa taifa wa Kenya na kuwasha Mishumaa kama ishara ya matumaini na upendo juu ya kuombolza tokeo hilo ambalo lilikua chukizo kwa dunia nzima, na baadhi ya wageni mbali mbali waliotembelea Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C waliwaunga mkono dhidi ya kitembo cha haramu kilichofanywa na kundi la kigaidi la Alshabab.”

From Jumuiya ya waKenya DMV waomboleza mauwaji ya Westgate, posted by Swahilivilla on 9/29/2013 (326 items)

Generated by Facebook Photo Fetcher 2

Comments

comments

%d bloggers like this: